c)baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mzingira hatarishi hawawezi kuandika na kusoma vizuri. – d)kamati zikaguliwe ili kuweza kujua ni wanakamati wangapi wanauwezo wa kuandika na kusoma vizuri na ni wangapi hawajui kusoma na kuandika. – e)nimejifunza kwamba wakati walipokuwa wanateuliwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo. – f)kamati zifanyiwe marekebisho – g)wale wasio na uwezo wa... | (Bila tafsiri) | Hariri |