Kwa nini mradihuu unahitajika?Kwenyemradi wetu uliopita katika kata mbili za manispaa ya Arusha yaani unga ltd na sokon 1 tuligundua watu hawakujitokeza kupima VVU/UKIMWI Katika vituo mbalimbali ndani ya manispaa kutokana nauelewa mdogo na kutojua umuhimu au faida ya kupima na kujitambua. Kwa sababu hii inachangia maambukizi kuendelea kuongzeka kila mwaka badala ya kupungua watu wengi wanafanya ngono pasipo kutumia kinga. Pamoja na usambazaji na upatikanaji wa... | (Not translated) | Hindura |