Envaya

/amua/news: English

BaseEnglish
AMUA katika kipindi cha Oktoba- Disemba itaandaa kongamano la kuzungumzia visababishi na madhara ya mimba na ndoa za utotoni kwenye kata za Nanjota, Lipumburu na Lupaso wilayani Masasi. Lengo likiwa ni kuibua mawazo na changamoto kutoka kwa jamii. Washiriki watatoka kwenye maeneo husika.(Not translated)Edit
Asasi ya Amua imeandaa mafunzo ya siku 30 kwa walimu wa kisomo cha watu wazima(wazee). Lengo ni kupata waalimu watakaowafundisha wazee Kusoma, kuandika na kuhesabu. Mafunzo hayo yataendeshwa na wakufunzi toka shirika la Amua lenyewe wakiongozwa na Mratibu wa mafunzo ni Bi Kate Mwembere na yataanza tarehe 15 Julai 2017. Wahitaji wa mafunzo hayo wameanza kuandikishwa.(Not translated)Edit
Baada ya kimya cha muda mrefu asasi ya AMUA imerejea tena katika utoaji wa taarifa kwa umma kwa kupitia ukurasa huu. Ni matarajio yetu kuwa jamii ya wapenda maendeleo wataendelea kuungana nasi katika kuibua hoja na mijadala mbalimbali yenye kuleta maendeleo na kukuza ustawi wa jamii zetu.(Not translated)Edit
CommentsI recentlhttps://geeksquad-appointment.us/y signed up with Ovation credit repair services and I am already SO happy that I did! They are working hard and have already made a positive impact on my credit report. They helped remove negative items from my credit report that shouldn't have been there. This directly caused an increase in my credit score.They were easy to talk to,VERY friendly and easy to understand, and in a country full of terrible customer service, Ovation credit repair customer...Edit
OctoberOctoberEdit
MayMayEdit
JulyJulyEdit
{month} {day}, {year}{month} {day}, {year}Edit
SwahiliSwahiliEdit
(unknown language)(unknown language)Edit
Main MenuMain MenuEdit
StandardStandardEdit
MobileMobileEdit
ContactContactEdit
HistoryHistoryEdit