Kikundi cha Mwanambogo United Youth Development kimeanzishwa kwa ajili ya kukamilisha mtazamo wa muda mrefu wa kuikomboa jamii na kuiunganisha pamoja lengo kuu likiwa ni kujikwamua kimaisha. Ikiwa ni pamoja na kuwa na mfumo / utaratibu wa kusaidiana kwa namna mbali mbali kupitia katika kikundi hiki. – Kikundi hiki kimeanzishwa na vijana wenye kutaka kuipa jamii maisha bora kwa kila mwanajamii. Kikundi hiki kimeanzishwa... | (Not translated) | Edit |