Base (Swahili) | English |
---|---|
IMEANZISHWA 1996 ZANZIBAR, NA KUZINDULIWA RASMI 1997 NA WAZIRI WA HABARI WA SMZ, MHE. ISSA MOHD ISSA. INA WANACHAMA 170. MIONGONI MWAO NI WASHAIRI NA WATUNZI MBALIMBALI, WAPENZI WA MASHAIRI NA WANAKISWAHILI. MAKAO MAKUU YA AWALI YALIKUWA KIKWAJUNI WELES (1996-2007), KISHA KIJITO UPELE (2008-2011) NA AMANI KWA SASA. |
ZANZIBAR Formed in 1996, and inaugurated in 1997 by the Minister of Information SMZ, HON. Mohd Issa Issa. Members INA 170. Among them are poets and composer VARIOUS AND WANAKISWAHILI Lovers of Poetry. Headquarters were originally Mkwajuni Meles (1996-2007), then Stream Pele (2008-2011) AND PEACE FOR NOW. |
Translation History
|