KAZI NA SHUGHULI ZINAZOSHUGHULIKIWA NA KIKUNDI CHA "WANAHARAKATI WA ELIMU, MAZINGIRA NA AFYA" (WEMA) – 1. Kikundi cha WEMA kinaendesha Maktaba ya Jamii ambayo ipo katika kijiji cha Mkalapa kilichopo wilaya ya Masasi. Maktaba ya WEMA ina vitabu vinavyokidhi mahitaji ya watu wa viwango mbalimbali vya kitaaluma kuanzia elimu ya watu wazima, elimu ya Awali, elimu ya Msingi, Sekondari, hadi chuo... | (Bila tafsiri) | Hariri |