Ni wazi kuwa, hakutakuwapo mwanajamii ambe hatahitaji mabadiliko ili kuendana na mwamko wa wakati. Mazingira ni dira (Vission) ya kuiongoza jamii katika kupanga, kushiriki kwa kuizingatia mifumo ya matumizi bora ya ardhi ili kwa pamoja, kuuinua uchumi kwa ajili ya maendeleo yetu. Organization for Land and Agriculture Improvement (OLAI), inatoa msaada wa ushauri na uhamasishaji wa sheria Na. 5 ya ardhi ya vijiji ya mwaka 1999. Karibuni OLAI ili kubadilishana uzoevu. | (Bila tafsiri) | Hariri |