JIKWAMUE DEVELOPMENT ASSOCIATION-JIDA YAJIKWAMUA – Asasi hii inastahili pongezi kubwa kwa mafanikio iliyoyapata tokea kuanzishwa kwake hadi mwaka 2014. – Mwaka 2013,JIDA,imefanikiwa kuandaa Mradi wa Mafunzo ya Ufuatiliaji wa Matumizi ya fedha za Umma za Sekta ya Elimu katika Kata 6 za Halmashauri ya Wilaya Morogoro Vijijini ambazo ni Mtombozi,Kisemu,Tawa,Konde,Mvuha na Selembala, – Mafunzo ambayo yaliwashirikisha Wanufaika 90,katika maana ya kwamba kila Kata iliwakilishwa na... | (Bila tafsiri) | Hariri |