MAISHA NI CONNECTION HAIJALISHI UMEPATA AU LAAH! – Picha hii inanikumbusha mwaka 2012, nikiwa jijini dar, nikapendekezwa na vijana wa kuchukuliwa fomu ya kugombea uwakilishi wa baraza kivuli wa vijana wa Wilaya ya Magu mjini. – Napenda kuwashukuru vijana wote walionipendekeza na kunichagua, hakika ni upendo wa dhati sana.(mimi ni wa tatu kutoka waliokaa upande wa kushoto ukutani) ... | (Not translated) | Hindura |