Yale mafunzo ya ufahamu wa sheria kwa jamii yameanza 1/4/2016 kwenye kata ya Mwenge Mtapika ambako washiriki 25 toka mitaa ya Mbonde na Mayula wanashiriki. Mafunzo haya yamelenga kutoa ufahamu wa sheria za msingi: Sheria ya ardhi no 4&5 ya 1999, sheria ya mtoto na malezi, sheria ya ndoa ya 1971, sheria ya mirathi, sheria ya jinai na kazi na ajira. – Kwa ujumla maendeleo na mahudhurio ni mazuri sana licha ya changamoto za hali ya hewa, mwingiliano wa shughuli za kijamii na... | (Not translated) | Edit |