Kwa mashirika yetu yaliyopo vijijini tunazo changamoto mbambali katika kutekeleza miradi ya jamii kutokana na jamii zenyewe kushindwa kutofautisha ni yapi mashirika ya mikopo na yale ya huduma, hivyo tunatoa maoni mashirika haya ya vijijini kupata ushirikiano wa karibu na mashirika mengine kwani walengwa wengi wanapatikana vijijini. Tunawapongeza Foundation kwa kuwa wanajali na wanatufikia huku vijijini, mashirika mengine yaige mfano huo. | In our organizations existing in rural areas we have challenges mbambali in implementing projects of society because society itself, failing to distinguish which of the organizations of credit to the service, so we offered these groups of rural access in close collaboration with other organizations for targeted mostly found in rural areas. Tunawapongeza Foundation because they care and they hear us while in rural areas, other agencies yaige parable. | Edit |