Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
/manshep/news
: Kiswahili
1
2
Ifuatayo »
Asili
Kiswahili
Kansa ni tatizo linaloongezeka sana katika jamii ya Watanzania kutokana na kubadilika kwa mfumo wa maisha ya asili. Maisha ya kisasa hasa ulaji wa vyakula vilivyosindikwa kwa kemikali, huchangia ongezeko la tatizo hili, chukua tahadhari. – (image)
(Bila tafsiri)
Hariri
(image) – MATUFAA KWA AFYA,LISHE NA TIBA – “An apple a day will keep the doctor away…An apple before bed makes the doctor beg his bread” (kula tunda moja la tufaa kila siku humfanya mtu asiwe na haja ya kuonana na daktari…kula tunda la tufaa kila siku humkosesha daktari mapato yake). Misemo hii ya Waingereza inaonyesha umuhimu wa matunda ya matufaa kwa ajili ya kudumisha afya ya binadamu, kukinga na kutibu magonjwa...
(Bila tafsiri)
Hariri
Vipodozi salama vya asili vinaweza kumfanya mtu kuwa mrembo na kuvutia bila kujihatarisha kiafya. Ni busara kuepuka vipodozi vyenye kemikali na sumu zinazoweza kusababisha kansa, kuharibika kwa figo/ini, ugumba, kuota ndevu kwa wanawake pamoja na matatizo ya afya ya akili (msongo) – (image)
(Bila tafsiri)
Hariri
(image)
(Bila tafsiri)
Hariri
(image)
(Bila tafsiri)
Hariri
Lishe bora na mlo kamili ni muhimu kwa afya kwani huongeza kinga ya mwili ya kukabiliana na magonjwa na kulainisha ngozi. Katika sehemu ambazo watu wanatumia matunda na mboga za majani kwa wingi matumizi ya dawa zenye kemikali zinazotengenezwa viwandani, yanapungua sana. – (image)
(Bila tafsiri)
Hariri
Comments
Maoni
Hariri
December
Desemba
Hariri
{month} {day}, {year}
{day} {month}, {year}
Hariri
Discussions
Majadiliano
Hariri
Kinyarwanda
(Bila tafsiri)
Hariri
(unknown language)
kiswahil(lugha nyingine)
Hariri
Main Menu
Menyu Kuu
Hariri
Network
Mtandao
Hariri
Previous
Iliyotangulia
Hariri
1
2
Ifuatayo »