Asasi kwa kushirikiana na wanaasasi wae imeandaa mafunzo ya sheria ya malezi ya mtoto – kwa wanajamii wa kata ya Mpeta. Mafunzo hayo yamelengwa kuwasaidia wanajamii kuweza kufahamu umuhimu wa malezi kwaa mtoto na sheria zinazohusu masuala hayo. Mafunzo hayo – yatafanyika kati tarehe 10-14 za mwezi wa Septemba mwaka huu wa 2105 kwenye zahanati ya Mpeta. Wawezeshaji watakuwa ni Yakobo Mchopa, Mwanaafa Malenga, Anjelina Saidia na Thecla Mbawala. ... | (Bila tafsiri) | Hariri |