Asili (Kiswahili) | Kiswahili |
---|---|
TAASISI YA KUPAMBANA NA UKIMWI KITANGARI IMEFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MRADI WA UNASIHI NA UPIMAJI WA HIARI WA VVU.Kikao hicho kilichowahusisha viongozi wa serikali kimefanyika tarehe 12/02/2011 Kituo cha Mchemo Lengo. Viongozi walisisitizwa na mtaalamu kuzingatia kufanya uteuzi kwa makini bila kuelemea upande mmoja.
|
(Bila tafsiri) |
Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe