Log in

/TYNF/news: English

BaseEnglish
kufanya uchambuzi wa taarifa kutoka field – -kuandaa taarifa ya mwezi – -kukabidhi taarifa kwa mratibu wa mradianalysis of data from field – -Organize information of the month – -Hand over information to the coordinator of the projectEdit
c)Baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi hawajui kuandika na kusoma, hivyo wengi wao wameshindwa kujaza fomu vizuri. – d)Kamati zifanyiwe marekebisho, wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe wenye uwezo wa kusoma na kuandika. – e)Nimejifunza kwamba wakati wanakamati walipokuwa wanateukiwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo – f)Kamati zifanyiwe...c)Baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mazingira hatarishi hawajui kuandika na kusoma, hivyo wengi wao wameshindwa kujaza fomu vizuri. – d)Kamati zifanyiwe marekebisho, wale wasio na uwezo wa kusoma na kuandika waondolewe na wateuliwe wenye uwezo wa kusoma na kuandika. – e)Nimejifunza kwamba wakati wanakamati walipokuwa wanateukiwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo – f)Kamati zifanyiwe...Edit
explanation of deviation from work plan(Not translated)Edit
katika kijiji cha matagata nimefanya id upya na kuwabaini mvcc wapatao – kuna baadhi ya mvccs wamehama, kwahiyo wanao wajibika kufanya kazi ni wachache – tayari nimesha waingiza wanakamati wapya ili wazibe nafasi za walio hama – mvccs wanahitaji mafunzo zaidi ili waweze kujua wajibu wao katika mradi huu wa pamoja tuwaleein the village of matagata I made a new id to identify mvcc about – mvccs some have moved, so who is responsible to work fewer – already I have to admit new members who leave positions wazibe – mvccs need more training so they know their responsibilities in this project together tuwaleeEdit
c)baadhi ya wanakamati katika kamati za watoto walio katika mzingira hatarishi hawawezi kuandika na kusoma vizuri. – d)kamati zikaguliwe ili kuweza kujua ni wanakamati wangapi wanauwezo wa kuandika na kusoma vizuri na ni wangapi hawajui kusoma na kuandika. – e)nimejifunza kwamba wakati walipokuwa wanateuliwa umakini haukuwepo, hali hii imepelekea kupatikana kwa kamati zisizo na uwezo. – f)kamati zifanyiwe marekebisho – g)wale wasio na uwezo wa...c) some members of the committee on committees and vulnerable children at risk can not write and read well. – d) zikaguliwe committee to determine how many committee members are able to write and read well and how many are illiterate. – e) I have learned that when they were appointed there was no seriously, this situation led to committee found without power. – f) Committee review required – g) those who are not able to read and write...Edit
kufuatilia maendeleo ya mradi – c)wanakamati kuwa wagumu wa mapokeo (kuelewa) – -baadhi ya wanakamati hawajui kusoma na kuandika – d)mabadiliko yafanyike, kamati ziundwe upya kwa kuzingatia vigezo vya kujua kusoma na kuandika – e)nimejifunza kwamba, wakati kamati zilipokuwa zinaundwa hakukuwa na umakini , jambo lililofanya kupatikana kwa kamati zisizijua kusoma na kuandika. – f)kamati zivunjwe(zifanyiwe marekebisho) ...monitor the progress of the project – c) members of the tradition that difficult (to understand) – -Some committee members can not read and write – d) changes made, the committee reviewed ziundwe based on the criteria for literacy – e) I have learned that when the committee was constituted, zilipokuwa be focused, which is obtained by the committee lililofanya zisizijua read and write. – f) The committee zivunjwe (required...Edit
elimu zaidi iendelee kutolewa kwa wanakamati ili wajue kazi na majukumu yao ili utendaji wao wa kazi uwe mzuri – wanakamati wapewe semina angalau mara moja kwa kila mwezi ili wakumbushwe majukumu yaofurther education continue to be provided to committee members know their duties and responsibilities to its performance going – committee members should be given a workshop at least once every month to be reminded of their responsibilitiesEdit
kutokana na hali halisi ya watanzania wengi kukosa elimu ya ufahamu wengi wao wamekuwa watu wa kuhangaika mitaani, hali hii imekuwa kikwazo cha maendeleodue to the nature of many Tanzanians lack the education to understand most of them have had to struggle street people, this has been a barrier to developmentEdit
kuna baadhi ya vijiji havina kamati za watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi, mfano kijiji cha matagata kilichopo katika kata ya kipiliThere are some villages do not have a committee of children living in risky environments, eg matagata village located in the second cutEdit
baadhi ya MVCCs hawana elimu ya kusoma wala kuandika hali iliyopelekea kushindwa kutoa takwimu sahihi za MVCs.MVCCs some are not educated to read or write the state leading up to failure to provide accurate records of MVCs.Edit