Taasisi ya Watu wenye Ulemavu wa Ngozi - Tawi la Lindi au kwa lugha ya Kiingezreza Tanzania Albino Society (TAS) - Tawi la Lindi imetekeleza mradi wa Kujenga Uwezo na Uelewa kwa Watu wenye Ulemavu kuhusu Sera ya Taifa ya Walemavu kwa watu wenye ulemavu na wadau wengine kutoka katika Kata 5 za Manispaa ya Lindi. Kata hizo ni; Mingoyo, Ng'apa, Makonde, Ndoro na Msinjahili. Mradi umetekelezwa kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Januari hadi Machi, 2011. Mradi umeweza kuwafikia watu wenye ulemavu... | (Not translated) | Hindura |