shirika la mazingira elimu lilianza mwaka 1999 katika kijiji cha Ilikisongo wakati wa mradi wa utafiti toka ujerumani ulipoingia ulioutafiti kwenye mboga mboga kwaajili ya visumbufu vya mimea.Hatimaye kusajiliwa rasmi mwaka 2010.Hivyo shirika lilisajiliwa rasmi mwaka 2010 na linaendelea na kazi za jamii ya watanzania kwa lengo kuu la kutoa elimu,mpaka sasa shirika lina wanachama 75 | environmental education organization began in 1999 in the village of Ilikisongo during a research project came from Germany was the outafiti in favor of vegetable pest mimea.Hatimaye of officially registered in the official lilisajiliwa 2010.Hivyo organization in 2010 and continues to work with communities of Tanzania The main objective of providing education, until now the organization has 75 members | Edit |