Fungua

/AVI-CENTER/post/101710: Kiswahili

AsiliKiswahili
mchakato wa kuanzisha clubs za michezo zinaendelea leo saa 10jioni, tutakuwa na mazoezi na timu ya vijana wa shule za msingi za hapa magu, waliochini ya kikundi cha amkeni vijana (KIAVI) Picha ya tukio zima zitawaijia baada ya mazoezi haya.(Bila tafsiri)Hariri
kikundi cha amkeni vijana(KIAVI) kesho kinakutana na wadau wa michezo wa wilaya ya magu mjini kwaajili ya kikao kilichoandaliwa na kiavi kwaajili ya kuanzisha umoja wa wanamazoezi ili kuwafanya vijana watumie muda wao kwenye mazoezi ili kujenga afya bora na pia kujikinga na magonjwa kama kisukari n.k.tunawakaribisha wadau wote kwa mchango.(Bila tafsiri)Hariri
Add a commentOngeza maoniHariri
Your email:Email yako:Hariri
Your email address will not be published.Anwani yako ya email haitachapishwa.Hariri
Your location:Mahali ulipo:Hariri
%s said:%s alisema:Hariri
(optional)(sio lazima)Hariri
Publish commentChapisha maoniHariri
CommentsMaoniHariri
FebruaryFebruariHariri
{month} {day}, {year}{day} {month}, {year}Hariri
DiscussionsMajadilianoHariri
Kinyarwanda(Bila tafsiri)Hariri
SwahiliALLIANCE FOR SOCIAL CHANGE { UMAKI } ni shirika lisilo la kiserikali na watu wake wa kujitolea ni 1. KENETH MKATA 2. MOHAMED KIZERU 3. MWANAIDI SALIMUHariri