| Base (Swahili) | English | 
|---|---|
| asasi ina mpamgo wa kuanzisha mradi wa kufuga samaki ,tatizo ni mtaalamu wa kutusaidia kufuga samaki.kwa sasa tunahitaji ushauri na mradi ukianza tutahitaji mtaalamu wa kutunza samaki.mawasiliano 0768373804 | Our Organization is planning to start a project of rearing fish, the only problem is that we need a specialist in fish rearing. At the moment we need professional advice and once the project starts we shall need a specialist in fish rearing. Please contact 0768373804 | 
| Translation History
 |