shirika lilianza mwaka 2011 mwezi June ,katika kijiji cha KIKUKWE kata ya KANYIGO – Shirika hili limeanza baada ya kuona uhitaji wa vijana katika vijiji vilivyopo katika mkoa wa kagera kwani vijana wengi baada ya kuitimu elimu katika viwango mbalimbali wamekuwa wakiishi maisha ambayo si mujarabu kwa maisha ya binadamu na hii ni kutokana na kukosa elimu ya ujasilia mali. – Shirika hili lilipogundua hali hii likaamua kuwakusanya vijana na kuzungumza nao juu ya... | (Not translated) | Edit |