Fungua

/TYNF/post/37: Kiswahili: WIeYKeKVD2q8iCGmhIyJVjFC:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili

vijiji vingi vipo mbalimbali.. hii imesababisha watu wengi kushindwa kukutana katika eneo moja kutokana na umbali wa maeneo husika

d)ratiba ifanyiwe marekebisho kwani kutokana na umbali wa maeneo watu wengi wamekuwa wanachelewa kufika katika mhutano...hii inasababisha mkutano kuchelewa kuanza pia kuchelewa kwa shughuli nyingine

h)jamii imeelewa malengo ya mradi wa pamoja tuwalee  pia imeahidi kutoa ushirikiano katika kipindi chote cha utekelezaji wa mradi

koku.chalenji...jamii imezoea kupokea misaada kuliko kujitolea

--vikao kama hivi vya uhamasishaji jamii vifanyike mara kwa mara

(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe