Dhahabu Arts Group ni taasisi ya kijamii isiyolenga kupata faida binafsi yenye lengo la kuona siku moja jamii ya kitanzania inakuwa bora katika sekta za Afya, Elimu, Uchumi na Utamaduni. – Ili kutimiza malengo haya, Dhahabu hufanya kazi na wabia mbalimbali wa ndani na nje ya nchi. Kwa sasa inafanya kazi zaidi na The Foundation for Civil Society. ... | (Not translated) | Hindura |