Base (Swahili) | English |
---|---|
Baadhi ya Asasi za kiraia, kwa kadiri yake zimesimama au kushindwa kabisa kuendelea kutekeleza malengo ya shirika. Hii ni kwa sababu ya changamoto zinazozikabili, ikiwa pamoja na wanachama wa Asasi kutoyafahamu vizuri malengo ya uanzishwaji wake. Vyanzo vya mapato kwa baadhi ya Asasi ni michango ya wanachama na ruzuku. Katika hali hii, mazingira hayo kumekuwa na tatizo kubwa huku Asasi hizo ni msaada mkubwa kwa jamii. Wito wangu kwa wadau, ni mawasiliano ili kujenga tabia ya kubadilisha uzoefu kwa nia ya kuziimarisha Asasi hizi. Twende pamoja, tutafika kule tunako kusudia. |
(Not translated) |