T4PC-afrovision inajihusisha na uhamasishaji kwa wananchi pasipo kubagua jinsia au umri katika kuhakikisha kila mwanajamii kwa nafasi yake anakuwa mfano wa kuleta mabadiliko yenye tija kwa jamii yake. – T4PC mbali na kuwa na malengo ya kuanzisha vikundi vya uhamasishaji,inatumia mfumo wa upashaji habari na makala kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa,kijamii,uchumi na imani ambayo yataweza kumjenga mwanajamii katika misingi ya kuwa na fikra endelevu na zenye tija katika jamii... | (Bila tafsiri) | Hariri |