Kazi tunazozifanya ni za huduma kwa jamii – 1. Tunatoa elimu kwa jamii kujikinga na kujizuia maambukizi ya ukimwi na VVU. pia tunatoa huduma na lishe kuwajengea uwezo waathirika wa ukimwi – 2. Tunatoa elimu kwa jamii ya kujiajiri wenyewe kuwa wajasiariamali, kupiga hatua ya kupunguza uamsikini pamoja na kuwa na elimu bora ya ujenzi nyumba za kisasa kwa gharama nafuu. – 3. Tunatoa elimu ya kutunza mazingira kupanda miti,kutunza uoto wa asili na... | The work we do is community service – 1. We offer community education to prevent and control HIV / AIDS and HIV. We also provide nutrition services and capacity building of HIV / AIDS victims – 2. We provide community education for self employment was wajasiariamali, hitting the stage of reducing the poor with better education and a modern building houses for low cost. – 3. We offer environmental education to keep planting trees, keeping... | Edit |