Hivi sasa mradi wa lugha ya alama kwa wazazi wa viziwi na viziwi uliokuwa unaendeshwa katika wilaya 8 za mkoa wa Tanga umemalizika na mkataba kati ya CHAVITA NA FOUNDATION Umeshafungwa. kwa sasa CHAVITA Kipo katika mchakatowa kuandika mradi mwingine wa MKUKUTA. – Kwa upande mwengine CHAVITA kipo katika maanalizi ya mkutano mkuu wa mwaka 2011 utakaofanyika mapema mwezi ujao,hivyo mkutano huo utahusisha wanachama wote wa mkoa wa Tanga pamoja na matawi ya chavita yaliyopo katika... | (Not translated) | Hindura |