Base (Swahili) | English |
---|---|
Development of widow women and counselling (DEWIWOCO) Ni shilika lisilo la kiselikari linalojishughulisha na maendeleo ya wanawake wajane na kutoa ushauri, shirika liliundwa tarehe 10/10/2006 na idadi ya wanachama 10 kwa pamoja tuliweza kushirikiana hadi kufanikiwa kupata katiba. Makao makuu yanapatikana wilaya ya Nzega mkoani Tabora,na ofisi zinapatikanaNzega mjini katika kitongoji cha ushirika karibu na ushirika shule ya musingi. Wanachama waliweza kushilikiana na kupata usajiri kutoka wizara ya mambo ya ndani kwa sheria ya mwaka 1954(Rule 5)tuliweza kupata cheti cha usajiri chenye namba s.no.14838. Mafanikio yametokana na kupata mradi baada ya kusaini mkataba wa miezi mitatu na the faundation for civil society ambapo tuliweza kutekeleza shughuli zifuatazo 1 utunzaji wa fedha 2 uandaaji na uibuaji na usimamizi wa miradi. 3 uongozi na uendeshaji wa asasi. 4 kuitambulisha asasi katika ngazi ya kata tarafa hadi wilaya Mafanikio tuliyopata 1 kuongezeka kwa uwazi wa katika uendeshaji wa asasi na matumizi ya fedha -Kanuni za fedha zimetungwa na zinatumika ipasavyo ndani ya asasi. -Kanuni za matumizi pia zimetungwa na zinafuatwa vizuri. 2 viongozi kuwa na mwelekeo sahihi juu ya utawala bora,mgawanyo wa madaraka umetekelezwa,mipaka ya viongozi inafahamika,kila kiongozi anajua kazi zake na majukumu yake,taratibu za kazi na sheria ndani ya asasi zimetungwa na zinatumika. 3 Viongozi wameelewa namna ya kuibua miradi na usimamizi wake ili kuleta tija katika asasi. Asasi imeanzisha mradi wa kuku 4 Asasi imefahamika katika ngazi ya kata tarara na wilayani na viongozi wameweza kutushauri kuwa huduma zetu zisiishie mjini bali zipanuke kwa haraka kwenda vijijini. |
Development of Widow women and Counselling (DEWIWOCO) It's irrelevant kiselikari shilika dealing specifically with the development of women widows, and providing advice, the organization was established on 10.10.2006 with the number of 10 members together we can work together to succeed to the constitution. Available from the district headquarters of Nzega in Tabora, and offices in the suburb of zinapatikanaNzega close communion and fellowship musingi school. Members can kushilikiana to get registration from the ministry of interior in 1954 by law (Rule 5) we can get a certificate of registration number s.no.14838. Success due to get the project after signing a contract of three months and the faundation for civil society where we can implement the following activities A financial management 2 uibuaji preparation and management of projects. Three leadership and management of institutions. 4 identified their organizations at the ward level to district divisions The success we found An increase in the transparency of the operations of financial institutions and -Principles of finance zimetungwa and are used appropriately within the organization. -Regulations also use zimetungwa and applied properly. Two leaders have the right direction on governance, separation of powers is implemented, the boundaries of the known leaders, every leader knows his job and its responsibilities, working procedures and rules within the organization and are used zimetungwa. Three leaders have understood how to generate projects and its management in order to bring efficiency in the organization. Organization has set up a poultry project Four levels of organization it has been reported in tarara county and district leaders have been able to guide our services in the city but zipanuke zisiishie quickly to rural areas. |
Translation History
|