HANDENI DEVELOPMENT GROUP (HDG) – Ni kikundi kipya kinachoundwa mwaka April 2011 chenye wanachama zaidi ya 30 na wote ni wazawa wa Handeni bila kujali makazi yao yalipo, – Kikundi kinajumuisha wafanyakazi na wafanyabiashara mbalimbali wa Handeni. – Kikundi kitafahamika kisheria na kufuata kanuni zote husika.Pia kitajumuisha jopo la wanachama wenye fani husika katika... | (Not translated) | Hindura |