Miradi ambayo OLAI inafanya, ni kuiwezesha jamii ya wakulima wadogo na wa kati, wajumbe wa mabaraza ya Ardhi ya vijiji na kata kuhusu Sheria Na. 5 ya Ardhi ya vijiji ya mwaka 1999 na januni zake za mwaka 2002. Pia kuwasaidia watoto waishio katika mazira magumu. Mradi kuhusu sheria Na. 5 ya Ardhi, ulifadhiliwa na The Foundation for Civil Society. | (Bila tafsiri) | Hariri |