TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UIMARISHAJI WA ASASI ULIOTEKELEZWA NA YOFSAO – UTANGULIZI. – YOUTH FIGHTY FOR SOCIAL AWARENESS ORGANIZATION (YOFSAO) ni shirika lisilo la kiserikali lililoanzishwa mwaka 2009 na kusajiliwa mwaka 2011 chini ya sheria ya NGOs ya mwaka 2002.Shirika lina wanachama 25 kati yao 7 wanaume na 18 wanawake.Makao makuu ya shirika yapo Mlamleni kata ya Tambani Wilaya... | (Not translated) | Edit |