1.tunahitaji waalimu wa kujitolea kufundisha katika elimu ya ufundi stadi kwa vijana walio chini ya miaka kumi na nane(18) – 2.tunahitaji waalimu wa kufundisha kozi ya nursing kwa ngazi ya diploma – usafiri wa kwenda na kurudi kazini kila siku utawepo. na mahala pa kuishi kwa wale waliotoka mbali. – kwa mawasiliano zaidi – 0753696599 | (Bila tafsiri) | Hariri |