Base (Swahili) | English |
---|---|
KIAVI inapenda kuwajuza wapendwa wote katika mtandao wa envaya kuwa ligi ya KIAVI inayowahusisha vijana wa miaka chini ya 18,inatarajiwa kuanza jumamosi hii,tutawapa taarifa kila hatua. karibuni sana kwa maoni |
(Not translated) |