tunategemea kuanzisha vitalu vya miti vijiji ngarenanyukie na ngwandua na ilkurot mwaka2014. vitalu vya miti tutakavyo anzisha itakuwa na miti ambayo inafaa kuotesha kwenye vyanzo vya maji kwani vyanzo vingi vya maji vinaanzia mlima meru | (Bila tafsiri) | Hariri |