UGONJWA WA MAFUA YA KUKU
Ugonjwa huu umekuwa ni hatari sna hasa kutokana na usumbufu wake wa kimatibabu pale unapoingi katika shamba la mkulima mfugaji wa kuku, hapa nakuletea maelezo mafupi kuhusu ugojwa huu.
Ni ugonjwa unaoitwa infectious coryza huenezwa na bacteria. anaeitwa (hemophilus paragallinarum).
Ugonjwa huu hushambulia kuku aina... | (Bila tafsiri) | Hariri |