Base (Swahili) | English |
---|---|
RafikiElimu Foundation wazindua mradi wa MAFUNZO YA UJASIRIAMALI BILA MALIPO
Mwalimu wa ujasiriamali wa rafikiElimu akiwa anafundisha Taasisi hii hutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana kati ya miaka 15-45 bila malipo yoyote, tafadhari itumie fursa hii kujikwamua. Kwa mawasiliano na RafikiElimu foundation piga simu 0763 976548 au 0782405936 au tembelea tovuti yao http://www.rafikielimu.blogspot.com au waandikie kwa barua pepe: rafikielimutanzania@gmail.com Na Clifford B. Majani Katibu Mkuu Agency for Better Hope and Social Unity
|
(Not translated) |