(image) Hawa ni watoto yatima wanaoishi katika wilaya ya mvomero katika kata ya turian, shirika limechukua hatua ya kuwasomesha kwa sababu wanaishi na bibi yao ambaye hana uwezo wa kuwasomesha. baba yao aliye wazaa yupo hai lakini naye hajiwezi kwa sababu ni mlemavu wa miguu. Mwananchi yeyote ambaye ameguswa na hili na anapenda kuwasaidia watoto hawa anakaribishwa. kwa mawasiliano 0714 681768 | (image) These are orphans living in the district in the county of turian Mvomero, the organization has taken steps to manage because they live with their grandmother who is not able to manage. their father is alive but who bore him an invalid for a disabled person's feet. Any citizen who has been touched by this and wants to help these children is welcome. communication 0714 681768 | Edit |