Base (Swahili) | English |
---|---|
10/06/2010 Wanakikundi wa TUPENDANE walimtembelea bwana KIKA MJATA mzalishaji wa mafuta ya Ubuyu.Tuliweza kuona hatua kwa hatua za uzalishaji wa mafuta hayo,ambayo yamethibitika kuongeza idadi ta CD4 kwa haraka sana na kupunguza idadi ya VVU mwilini. |
10/06/2010 They love one another group's visit certainly MJATA master producer of oil Ubuyu.Tuliweza see step by step the production of oil, which assume increasing CD4 yamethibitika very quickly and reduce the number of HIV load. |
Translation History
|