Base (Swahili) | English |
---|---|
wapendwa wana harakati hamjambo? Lift Life Tulinyamaza kitambo kwa kuwa bado tulikuwa tunajipanga kikazi zaidi. Habari mpya tulizonazo leo ni kuhusu kujenga uwezo kwa vijana kwa matumizi ya kompyuta(kichakato kikuu) mwaka jana shirika letu tumeendesha mradi wa kujenga uwezo kwa vijana juu ya matumizi ya kiku kwa maana ya kompyuta, na tulifaulu kuwajengea vijana wapatao 20 na sasa wameweza kutumia kompyuta kwa mawasiliano mbalimbali pamoja na kujiajili. mradi ulianza November 01 2011 na kukamilika January 2012. Mradi huu ulifadhiliwa na watanzania na uligharimu kiasi cha shilingi za kitanzania 3,000,000/=(milioni tatu) |
movements have loved you not well? Lift for Life Tulinyamaza while we were still planning more work. Present information we have today is about building capacity for youth to use the computer (a process staple) last year our organization we run a project to build capacity for youth on the use of the causes for the computer, and we succeeded in building young people around 20 and now they can use computer range communication with kujiajili. project started on November 01 2011 and completed January 2012. This project was funded by the Tanzanian and the cost of the Tanzanian shillings 3,000,000 / = (three million) |
Translation History
|