Dhahabu Arts Group ni taasisi ya kijamii isiyolenga kupata faida binafsi yenye lengo la kuona siku moja jamii ya kitanzania inakuwa bora katika sekta za Afya, Elimu, Uchumi na Utamaduni. – Ili kutimiza malengo haya, Dhahabu hufanya kazi na wabia mbalimbali wa ndani na nje ya nchi. Kwa sasa inafanya kazi zaidi na The Foundation for Civil Society. ... | Gold Arts Group is a social institution isiyolenga private gain with the objective of seeing one day a Tanzanian community becomes better in the sectors of Health, Education, Economy and Culture. – To accomplish these goals, Gold work with partners inside and outside the country. For now it makes more work and The Foundation for Civil Society. ... | Edit |