(image) – Pichani, Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa mwaka 2010, akitoa hotuba katika ufunguzi wa Zahati katika Kata ya Misugusugu katika halmashauri ya Mji wa Kibaha- Pwani-DPA ilitumia fursa hii kutoa elim u kwa jamii kuhusu umuhimu wa Matumizi ya Vyandarua vyenye viatilifu ikiwa ni moja ya Mbinu za Kujikinga na Ugonjwa wa Malaria kwa Wanawake Wajawazito na Watoto chini ya Miaka mitano, Kupitia maradi wa COMMIT unaotekelezwa kwa ushirikiano wa CVM/APA na... | (image) – Pictured, leader of the Uhuru Torch race Nationally in 2010, giving a speech at the opening of Zahati County Misugusugu in the council of the City of Kibaha-Coast-DPA used this opportunity to elim u community about the importance of the use of nets viatilifu if one is Methods of Prevention of Malaria in Pregnant Women and Children under five years, through projects of COMMIT is implemented in cooperation with the CVM / APA and PSI-Tanzania. | Edit |