UWAKUSHI NA TEYODEN WAINGIA MAKUBALIANO YA KUSAIDIANA – Katika kile kinachoitwa kutandaa asasi mbili zimeingia makubaliano ya pamoja ili kuweza kubadilishana uzoefu wa kazi na stadi mbalimbali. – Asasi ya UWAKUSI na Mtandao wa vijana Manispaa ya Temeke unaojulikana kama TEYODEN umekubaliana kubadilishan uzoefu katika nyanja mbalimbali za kazi ya kushughulikia masuala ya upunguzaji umasikini kwa... | (Bila tafsiri) | Hariri |