Log in

/jeanmedia/post/97737: English: WI000498CE7B5E6000097737:content

« Previous   ·   Next »
Base (Swahili) English

MAISHA MAPYA MABWEPANDE BAADA YA MAFURIKO.

Ni mji mpya kwa sasa,unaopatikana km 37 kutoka jijini Dar es salaam na upo upande wa kusini magharibi mwa jiji hilo,unaotegemewa kukaliwa na familia zipatazo 1800,baada ya makazi yao kuharibiwa kwa mafuriko ya tarehe 20/12/2011.

Jumapili ya tarehe 22/01/2012,msururu wa magari ya jeshi la wananchi wa Tanzania ukiambatana na viongozi wengine wa mkoa wa Dar es salaam,waliwasili katika eneo la Mabwepande tayari kuwakabidhi nyumba wahanga wa mafuriko.Eneo hilo linatarajiwa kuwa na familia zipatazo 1800,lakini mpaka sasa ni familia 300,ndizo zitakazo anza kuishi eneo hilo wakati ukarabati wa nyumba nyingine ukiendelea.

Diwani wa kata ya Mabwepande bwana Clement Boko,anaeleza kwa ufupi changamoto ambazo zinategemewa kuwepo katika kipindi hiki ambacho wakazi hawa wanahamia katika kata yake.Pamoja na kushukru ujenzi uliowezeshwa na shirika la msalaba mwekundu,kwa kuweka mifumo ya maji,bafu na vyoo,lakini anasema bado kuna umuhimu wa kuweka mifumo ya maji taka kwa kuwa haipo kabisa,hali ambao inaweza kuibua tatizo la magonjwa ya kuhara,kipindu pindu na ugonjwa wa matumbo.

Aidha bwana Boko anaeleza kuwa kuna umuhimu wa huduma ya shule ya msingi na sekondari kuandaliwa mapema kwa kuwa watoto  ni wengi sana na hakuna shule zilizo karibu na eneo hilo.Pamoja na kuwepo kwa vyoo,bado inaonesha kuwa si vya muda mrefu hivyo kuna kila sababu ya kujenga vyoo vya muda mrefu na miundo mbinu inayopitisha maji taka.Vile vile kituo cha afya ni muhimu kiweke katika eneo hilo kwa ajili ya kuwatibu wagonjwa.

Katika siku ya kuwasili kwao,shirikisho la vyuo vikuu vipatavyo 27 ambalo ni vijana wa Chama Cha

Mapinduzi,kutoka mkoa wa Dar es salaam chini ya mwenyekiti wao bi Aisha Suruu wametoa misaada ya magodoro,maji,juisi,nguo na viatu kwa ajili ya wahanga hao.Kwa kuwa eneo hilo ni jipya na ndio maisha yanaanza upya kuna changamoto mbalimbali ambazo zinatarajiwa kutokea.

Changamoto hizo ni pamoja na maisha kuwa magumu zaidi kwa wahanga,mama Bakri ambaye ni mjane asiye na mme wala mtoto anasimulia, naishukuru serikali kwa kutupatia makazi haya,lakini bado hali ni ngumu kwa upande wetu,hatuna pa kuanzia maana kila kitu kilisombwa na maji,hivyo tunaomba misaada zaidi mpaka pale tutakapo kuwa na uwezo wa kujitegemea,mwisho wa kunukuu.

Katika eneo hilo hakuna huduma yoyote inayopatikana ,kwa maana kwamba maduka,soko na huduma nyingine za kijamii kitu ambacho kinaongeza ugumu wa maisha kwa wananchi hao.Misaada mbalimbali ya kibinadamu inahitajika kwa haraka sana ili kuwasaidia wahanga hao.Chakula,nguo,dawa ya kutibu maji,dawa za chooni,misaada kwa ajili ya watoto wa shule kwa maana kwamba,sare,viatu,nguo,madaftari na peni za kuandikia ni muhimu sana.Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadik anawaomba wadau wazidi kuwasaidia wahanga mpaka watakapokuwa tayari kujitegemea,huku bwana Aidan David wa msalaba mwenyekundu akitoa wito wa aina hiyo hiyo kwa wadau wote kusaidia jamii hiyo.

Kwa upande wa malazi,magodoro,shuka,na hata vitanda ni vitu vya muhimu sana kwa ajili ya wahanga hao.Serikali ya mkoa,wadau na mashirika yana wajibu wa kuhakikisha kuwa mazingira katika eneo hilo yanalindwa ili liendelee kuwa eneo salama la kuishi kwa kila mwanajamii husika.

 

 

NINI KIFANYIKE ?

Jeanmedia   ni taasisi iliyojikita katika kulinda,kutunza,na kuhifadhi mazingira, inao wataalamu ambao wamebobea katika masuala ya elimu ya mazingira,hii ni timu ambayo ina uzoefu na ujuzi wa kutoa elimu ya mazingira na namna ya kujilinda na maradhi.Kwa mantiki hiyo wadau,mashirika,idara na watu binafsi tunaomba muiunge mkono katika kuhakikisha kuwa adhima ya kutoa elimu hii kwa wahusika inafikiwa kwa kiwango kinachotakikana na kwa muda mwafaka.

Daima tukumbuke ule msemo usemao,kinga ni bora kuliko tiba.

Hapo chini unaweza kuangalia picha mbalimbali za maisha yalivyoanza huko Mabwepande.

 

 

                               ANTON MWITA KITERERI

 

 

 

 

NEW LIFE MABWEPANDE after the flood.

It is now a new city, found 37 km from Dar es salaam and lies on the south west of the city, you otegemewa occupation and family about 1800, after flooding destroyed their homes on 20/12/2011.

On Sunday 22/01/2012, a series of military vehicles of the citizens of Tanzania paired with other leaders of the region of Dar es salaam, arrived in the area of ​​Mabwepande ready to hand over the house mafuriko.Eneo victims and families is expected to be around 1800, but until now is 300 families, which represent the area that will begin to live in another house renovation continues.

Councillor of Ward Mabwepande Mr Clement Boko, explains briefly the challenges that are expected to exist in this period that the population they are moving in the county yake.Pamoja and kushukru construction owezeshwa and organization of the Red Cross, to keep water systems, bathrooms and toilets, but says there are still important to keep drainage systems to be completely absent, conditions that can generate the problem of diarrheal diseases, cartwheel recorded cholera and typhoid disease.

Either Mr Boko states that there is a need to service a primary school and secondary school preparation in advance for children is too many and there are no schools nearby hilo.Pamoja and the presence of toilets, still shows that not long so there is every reason to building latrines and long-term water infrastructure inayopitisha taka.Vile as the health center is important Keep it in the area to treat patients.

On the day of their arrival, a federation of universities, which has around 27 youths of Chama Cha

Revolution, from Dar es salaam region under their chair bi Aisha Suruu have provided relief mattresses, water, juice, clothes and shoes for the victims o.Kwa that the area is new and life begins again there are various challenges that are expected to occur .

These challenges include life more difficult for victims, a mother Bakri, who is a widow without a husband or a child is reported, naishukuru government to give these homes, but still the situation is complicated in our case, we do not have a starting point for everything kilisombwa and water, So we ask for more aid until we will be able to self, end quote.

In this area there any services available, meaning that shops, markets and services and other social thing that increases the difficulty of life for citizens not o.Misaada various humanitarian needed urgently to help victims not o.Chakula, clothes, medicines to treat water drugs, toilet, grants for school children in the sense that, uniforms, shoes, clothes, notebooks and pens to write is important sana.Mkuu governor of Dar es salaam Neck Sadik Said asks stakeholders to add to help the victims until they self-ready , with a master David Aidan's cross mwenyekundu casting call for the same type for all stakeholders to help the community.

In terms of accommodation, mattresses, sheets, and even the beds are very important items for the victims not o.Serikali the region, stakeholders and organizations have a responsibility to ensure that the environment in a protected area to continue to be a safe place to live by every member is concerned.

What can be done?

Jeanmedia is based institutions in protecting, maintaining, and preserving the environment, maintains a professional who specializes in issues of environmental education, this is a team that has experience and knowledge of environmental education and how to protect themselves and the logic maradhi.Kwa stakeholders, civil , departments and individuals we ask muiunge hand in ensuring that the dignity of this education is accessible to players level What you need and the appropriate time.

Always remember the refrain saying, prevention is better than cure.

Below you can look at different pictures of life in Mabwepande yalivyoanza.

ANTON ITA KITERERI


In order to edit translations, you need to log in. Log in · Register

Translation History

Google Translate
January 29, 2012
NEW LIFE MABWEPANDE after the flood. – It is now a new city, found 37 km from Dar es salaam and lies on the south west of the city, you otegemewa occupation and family about 1800, after flooding destroyed their homes on 20/12/2011. – On Sunday 22/01/2012, a series of military vehicles of the citizens of Tanzania paired with other leaders of the region of Dar es salaam, arrived in the area of ​​Mabwepande ready to hand over the house mafuriko.Eneo victims and...