Taarifa ya mafunzo ya stadi za maisha na uongozi yaliyotolewa kwa VSI katika ukumbi wa ofisi ya WOY Moshi – Utangulizi – Kwa msaada kutoka SATF White Orange Youth wanatekeleza mradi unaitwa ‘Vijana Simam Imara’ Mradi huu umeanzishwa kwa kujifunza mafanikio ya mfano kwa shirika la Humuliza linalopatikana kanda ya ziwa Victoria. Shughuli ambazo WOY wanafanya katika mradi huu ni pamoja na kuwafundisha vijana elimu ya uongozi na stadi za maisha Katika mwezi wa Mei WOY ilifanya mafunzo... | (Not translated) | Hindura |