ABHASU kupitia mradi wake wa SOCIAL PROTECTION FUND PROJECT (SPF)yatoa msaada wa majanga kwa wanachama. – Familia mbili za wanachama wa Agency for Better Hope and Social Unity hivi karibuni wamenufaika na kuwepo kwa shirika hili kwa kupata msaada wa kijamii wa kukabiliana na misiba. ABHASU imetoa jumla ya Tsh 700,000( laki saba tu) kama rambirambi kwa familia zilizopoteza wapendwa wao. ... | (Bila tafsiri) | Hariri |