ASASI KUSHIRIKI KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA YA NANE NANE MWAKA 2015. – ASASI YA LUSANGAENVIRONMENTAL GRASSROOTS EMPOWERMENT GROUP INATARAJIA KUSHIRIKI KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA YATAKAYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU JULIUS NYERERE MKOANI MOROGORO MWEZI WA NANE MWAKA HUU. – LENGO LA USHIRIKI NI KUWEZESHA ASASI KUONESHA KAZI ZAKE NA BIDHAA AMBAZO ASASI INAZALISHA KATIKA MIRADI YAKE YA KIJAMII. – PIA NI KUTAFUTA MASHIRIKA MBALIMBALI YA KITAIFA NA... | (Bila tafsiri) | Hariri |