Kupitia mradi wake wa 'TEGEMEZA' inaendesha kampeni juu ya kujikinga na maambukizi ya VVU/UKIMWI, katika programu hii COLD imedhamiria kueneza ufahamu wa jinsi ya kujikinga ili kupunguza maambukizi mapya nchini Tanzania. Mpango huu unalenga kuondoa imani potofu kuhusu VVU/UKIMWI na kuhakikisha kuwa jamii ina habari sahihi zitakazowasaidia kufanya maamuzi sahihi. Mpango huu umekusudia:- 1. Kuhamasisha jamii kufikiri kuhusu mapenzi na kuwaruhusu kutathmini madhara yatokanayo na aina yoyote ya... | Through its project of 'sustain' runs campaigns on prevention and HIV / AIDS, the Cold program is committed to spreading awareness of precautions to reduce new HIV infections in Tanzania. This initiative aims to remove misconceptions about HIV / AIDS and ensure that the community has accurate information that will help make the right decisions. This program is intended to: - 1. Mobilizing the community to think about sex and allow to evaluate the effects of exposure to any kind of sex. 2.... | Edit |