Fungua

/wamata-manyara/post/wamata-manyara-profile,23080: Kiswahili: CM00040C62A9417000079497:content

« Iliyotangulia   ·   Ifuatayo »
Asili (Kiswahili) Kiswahili
Wanaharakati wenzetu, tushirikiane katika changamoto mbalimbali tunazokutana nazo na jinsi ya kuzitatua. Sisi tupo Kigoma mjini ni kundi la akina mama wanaoishi na VVU/UKIMWI lakini pia tunapeana faraja na kutoa huduma za kijamii kwa kujitolea kwa wenzetu walio katika hali mbaya zaidi. PENYE NIA PANA NJIA NA HAKUNA LISILOKUWA NA MWISHO, hatimaye halitakuwa tatizo tena.
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe