About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/CYF/post/wezesha-sera-ya-taifa-ya-maendeleo-ya-vijana-itumike-kwa-vijana,60204
: English
Base
English
Kwa kweli vijana tujitume kweye kazi, tuumize vichwa vyetu kubuni miradi mbalimbali ili tuweze kujikwamua kimaisha.
In fact young tujitume into a job, tuumize our heads so we can design various projects to get rid of life.
Edit
Licha ya kuwepo kwa sera ya Vijana kukosekana kwa mabaraza ya vijana katika Vijiji,Kata,Tarafa na Wilaya hadi mkoa kumewadumaza vijana kuweza kutoa maoni yao.
Despite the lack of youth policy youth councils in the Village, County, Divisional and district to regional kumewadumaza youth to express their views.
Edit
(image) Vijana wa kata ya Kanyenye wakiwa katika Majadiliano juu ya Changamoto na Matamko ya Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana.
(image) Kanyenye young ward amid the talk about the challenge and the National Policy Statement for Youth Development.
Edit
WEZESHA SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA VIJANA ITUMIKE KWA VIJANA
Enable ECONOMIC POLICY should be used for YOUTH YOUTH
Edit