(image) Envaya inafanya juhudi za dhati kutafuta misaada na michango ya kusaidia na kupanua kazi yetu. – Msaada wako ni muhimu katika kufikia malengo yetu na mipango ya baadaye, na tunathamini sana michango yenu. – Changia katika jitihada za Envaya kwa kufanya mchango kodi GNU sasa! – Kuna njia mbalimbali unaweza kuchangia kwa Envaya: cheki, kadi ya mikopo, uhamisho waya, au mchango hisa....(This translation refers to an older version of the source text.)