Community Organization for Life and Development "COLD" imeshiriki kikamilifu katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika ambayo yameadhimishwa kimkoa katika kata ya Bugarama wilaya ya Kahama, ambapo mgeni rasmi amekuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Brigedia Jenerali mstaafu, Dk. Yohana Balele. COLD imetoa msaada wa sare za shule na madaftari hamsini na tano kwa watoto yatima wanaoishi katika mazingira magumu kumi na mmoja, wavulana watano na wasichana sita wanaosoma katika shule ya msingi... | (Not translated) | Hindura |